Top Ad

DOWNLOAD MP3: MASAUTI-SOKOTE ft DREAMNATION [Audio] LYRICS | OFFICIAL VIDEO

Kenyan Boy Masauti yet again has raised the bars,releases new song'SOKOTE'.Leaving the Bongo-RnB star untouchable.Download 'Sokote' - Masauti MP3 [ Audio]

The 'Dondosha' Hit-Maker Masauti is a tireless sensation Musician and a song Writer who has managed to release several hits in the past few months.Some of his greatest collabos includes; 'KIBOKO' Remix featuring Khaligraph Jones,'LOLA' featuring songstress Nadia Mukami and the recent song,'DONDOSHA' featuring WCB (Wasafi) Lava Lava
Download also: Nadia Mukami Latest Song ft Nviiri the storyteller | Mp3LYRICS

Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote
Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote

Binyuka binyuka isokote
Ukipenda Maria nikuhonge mahela
mahela
Nipeleke mpera mpera
Maria baby whine kama Vera, vera

Nionyeshe makeke
Mi nataka hio dedede
Popote nikukamate
Kwa ulimi nipake mate
Mi nataka leo ujibambe
We songa nikupakate

Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote
Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote

Tingisha mingaza ukitetemeka
Safisha kiwanja iyo ngoma inatesa
Utaogopa huko ndani ukisema
unanyesha
Nipandishe mizuka niongeze
mapresha

Baby do me Coconut eeh(Sokote)
lkune kama nazi eeh(Sokote)
Ikaze kama nati eeh(Sokote)
Sokote sokote sokote sokote

Baby do me Coconut eeh(Sokote)
Ikune kama nazi eeh(Sokote)
lkaze kama nati eeh(Sokote)
Sokote sokote sokote sokote

Nionyeshe mateso, baby ready
Kwa beddy ka karate, ready ready
Girl girl nipate bedii bedii
Baby ready ready ready ready

Nionyeshe mateso, baby
ready(Isokote)
Kwa beddy ka karate, ready ready
Girl girl nipate bedii bedii(lsokote)
Baby ready ready ready ready


Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote
Fanya kama unacheza, isokote(Chii)
Binyuka binyuka basi, isokote

Isokote, isokote, isokote, isokote
Previous Post Next Post